Na SRRH MGANGA Mkuu wa Serikali, Prof. Tumaini Joseph Nagu amewataka watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Shinyanga kutokaa zaidi ndani badala yake kwenda nje ya Hospitali ili... Read More
Habari
Na SRRH WATUMISHI wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga wamepatiwa mafunzo ya Chati Uchungu (Labour Care Guide) inayosaidia kujua maendeleo ya Mama mjamzito pamoja na mtoto ... Read More
Na Shinyanga RHH HOSPITALI ya Rufaa ya Mkoa Shinyanga kupitia Idara ya Watoto, leo Disemba 08, 2023 imefanya Sherehe Maalumu ya kuwapongeza Watoto Njiti ambayo Maadhimisho yake K... Read More
Na SRRH BODI ya Ushauri ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Shinyanga, katika kikao chake cha tano ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Dkt. Frank Samwel, ilitembelea Kitengo cha Tiba Mtan... Read More
INAELEZWA kuwa magonjwa yasiyokuwa ya kuambukiza ambayo ni pamoja na Shinikizo la damu, Saratani za aina zote, Kisukari, Figo, Mapafu na Magonjwa ya Moyo, yanatibika kwa kiwango kik... Read More
Na SRRH WATUMISHI wa Afya katika Hospitali ya Manispaa Shinyanga na Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Shinyanga wametakiwa kutoa huduma bora kwa wananchi ili kuridhisha jitihada za Seri... Read More
Na SRRH MADAKTARI, Wauguzi, Wakunga na Wafamasia Mkoani Shinyanga wameaswa kuzingatia Miiko na Maadili ya kazi katika utumishi wao Hospitalini ili kuboresha huduma za afya kwa ku... Read More
Na SRRH MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Christina Solomoni Mndeme, leo Oktoba 31, 2023 amefanya ziara iliyolenga kufanya Ukaguzi wa Huduma zinazotolewa na Vifaa Tiba katika Hospi... Read More
Na SRRH WANAWAKE Mkoani Shinyanga wameelezwa kukabiliwa na tatizo kubwa la ugumba kwa kukosa watoto, kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo utoaji wa mimba holela, matumizi ya daw... Read More
Na SRRH WAHUDUMU wanaohusika na shughuli za Ulinzi na Usafi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Shinyanga (SRRH) wameaswa kufuata kanuni na maadili ya kazi ikiwemo kutumia lugha nz... Read More