Na SRRH ELIMU kuhusiana na huduma ya kipimo cha utambuzi wa Seli mundu (HB Electrophoresis Test) ikiwa na lengo la kuongeza uelewa na umuhimu wake kwa afya ya binadamu, imetolewa... Read More
Habari
Na SRRH KATIKA kuadhimisha siku ya Homa ya Ini Duniani iliyofanyika Julai 28, 2023, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Shinyanga iliweza kupima jumla ya wananchi 210. Kati ya wananchi... Read More
Na SRRH WIZARA ya Afya leo Julai 26, 2023 imetoa elimu kuhusiana na Ugonjwa wa Siko Seli katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Shinyanga, kwa aili ya kuongeza wigo wa uelewa wa ugonjwa huo, h... Read More
Na SRRH KUELEKEA maadhimisho ya Homa ya Ini Duniani Julai 28, 2023, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Shinyanga leo Julai 26, 2023 imeanza kutoa Huduma ya Vipimo vya Homa ya Ini pamoja Chanjo (H... Read More
Na SRRH HOSPITALI ya Rufaa ya Mkoa Shinyanga imefanikiwa kunufaisha zaidi ya wagonjwa 150 kutokana na uwepo wa huduma ya CT SCAN ambayo imeanza rasmi kufanyika hivi karibuni. Mganga Mf... Read More
Na SRRH WAZIRI wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu ameipongeza Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Shinyanga kutokana na uwajjibikaji mzuri kwa watumishi pamoja na utoaji wa huduma bora kwa wananchi. Ha... Read More
Na SRRH TAASISI ya Mifupa Muhimbili (MOI) imeanza kutoa mafunzo kwa Madaktari na Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Shinyanga wa Idara ya Magonjwa ya ndani (Internal Medicine), ili kuw... Read More