Na George Mganga, Shinyanga RRH MADAKTARI Tarajali na Wafamasia katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Shinyanga, wametakiwa kutimiza majukumu yao kwa kuzingatia miongozo ya afya, iki... Read More
Habari
Na George Mganga, SRRH MBUNGE wa Viti Maalum katika Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Santiel Erick Kirumba, amewaomba wauguzi wa Mkoa Shinyanga kutumia nishati safi ya kupikia, badala ya ... Read More
Na SRRH WANAWAKE 16 ambao wamekuwa wakikabiliwa na tatizo la ugonjwa wa Fistula mkoani Shinyanga, wamefanyiwa upasuaji huku wengine nane (8) wakitarajiwa kufanyiwa leo Juni 28, 2... Read More
Na George Mganga, SRRH KATIKA kuboresha na kuhakikisha watumishi wa Sekta ya Afya hususani kwenye Hospitali za Rufaa za Mikoa wanajengewa uwezo wa kutoa huduma kwa ubora unaotaki... Read More
Na George Mganga, SRRH KIKUNDI cha watu waliozaliwa mwezi wa tatu (Team March) katika Manispaa ya Shinyanga, Aprili 17, 2024 kimetoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa watoto wachang... Read More
Na SRRH Daktari Bingwa wa Watoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Shinyanga (SRRH), Dkt. Yustina Tizeba, leo Aprili 17, 2024 ametoa mafunzo ya kumsaidia mtoto mchanga kupumua (N... Read More
Na SRRH KITENGO cha Uboreshaji Huduma katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Shinyanga, leo Aprili 16, 2024 kimeitisha kikao na Walinzi kwa ajili ya kukumbushana majukumu yao katika e... Read More
Na SRRH KITENGO cha Ubora wa Huduma katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Shinyanga leo Machi 27, 2024 kimetoa mafunzo kuhusiana na utenganishaji taka pia aina za taka katika maeneo ... Read More
WANAUME wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga wamenufaika na huduma ya Tohara Kinga inayotolewa kwenye vituo vya afya pamoja na Kliniki Tembezi maarufu kama huduma mkoba za tohara kinga... Read More
Na SRRH KATIKA kuhakikisha huduma za afya zinaboreshwa katika Sekta ya Afya, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga (SRRH) kupitia Idara ya akina Mama na Uzazi, leo Januari 3... Read More