kitengo cha meno
Posted on: January 21st, 2025
Huduma inazotolewa na Kitengo cha Meno: 1. Upasuaji mdogo 2. Kusafisha nakushona majeraha 3. Kufanyiwa uchunguzi wa Afya ya kinywa na meno 4. Kusafisha vidonda kila siku 5. Kung'oa jino 6. Kung'oa jino lililoota vibaya (Impaction) 7. Kurudisha mfupa wataya uliokatika 8. Kuziba kwa muda 9. Kuziba moja kwa moja 10. Matibabu ya mzizi (root canal treatment) 11. Kuweka jino la bandia 12. Kurudisha taya bila dawa ya usingizi 13. Kuweka kofia ya jino (Jacket crown) 14. Kusahihisha mpangilio wa meno kwenye taya 15. Kusafisha ugaga kwenye meno 16. Kuondoa uvimbe uliojikusanya 17. Kuondoa uvimbe uliosambaa (Infection Fasciitis) 18. Kupiga picha ya mionzi (X-meno) 19. Kugandisha meno (Sprinting) |